sw_tn/nam/03/08.md

20 lines
654 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Nahumu anaongea kwa watu wa Ninawi kana kwamba wao ndiyo mji wenyewe.
# je wewe ni bora kuliko Noamoni...yenyewe?
TN: "Ninyi si bora zaidi ya Noamoni...yenyewe."
# Noamoni
mji mkuu wa zamani wa Misiri, ambao Waashuru waliuteka.
# ambao ulinzi wake ilikuwa bahari, ambao ukuta wake ilikuwa bahari yenyewe
Haya mafungu mawili ya maneno yana maana zenye kufanana. Maneno "bahari" yana maana ya mto Nile ambao ulitiririka karibu kwenye mji na kusababisha ugumu wa kushambuliwa.
# ulinzi... ukuta
Miji ya zamani ilikuwa na "kuta" kubwa ili kuwazuia washambuliaji, na mstari wa mbele wa walinzi kuwazuia maaduai wasiufikie ukuta.