sw_tn/nam/02/13.md

24 lines
436 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
"Fahamu hili"
# upanga utateketeza simba wenu vijana
"askari wenu watakufa vifo si vya kawaida"
# upanga
"askari mwenye upanga"
# utateketeza
"kuwala wote"
# simba wenu vijana
"vijana wenu wenye ubora"
# Nitazuia nyara zenu kutoka kwenye nchi yenu
Neno "nyara" linarejea utajiri ambao Ninawi alipatia kutoka kwenye nchi zingine.Hii inamaanisha Yahwe ataharibu uwezo wa Ninawi wa kuiba kutoka katika mataifa mengine.