# Tazama "Fahamu hili" # upanga utateketeza simba wenu vijana "askari wenu watakufa vifo si vya kawaida" # upanga "askari mwenye upanga" # utateketeza "kuwala wote" # simba wenu vijana "vijana wenu wenye ubora" # Nitazuia nyara zenu kutoka kwenye nchi yenu Neno "nyara" linarejea utajiri ambao Ninawi alipatia kutoka kwenye nchi zingine.Hii inamaanisha Yahwe ataharibu uwezo wa Ninawi wa kuiba kutoka katika mataifa mengine.