sw_tn/mrk/14/35.md

20 lines
802 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# saa hii ingempita
"apewe nguvu ya kushinda mateso aliyokuwa anayapitia.
# Aba
Abba ni neno la Kiyunanai ambalo linatumika na watoto kumtaja baba yao. Inaashiria uhusiano wa karibu. Kwa kuwa tayari inamtaja Baba, ni muhimu kuhifadhi neno la Kiyunani "Abba."
# Niondolee kikombe hiki
Kikombe hurejea kwenye ghadhabu ya Mungu ambayo ilikuwa lazima Yesu aivumilie.
# Alisema, Aba,... Baba, .... Niondolee kikombe hiki. Lakini siyo kwa matakwa yangu, bali matakwa yako."
Yesu alimwomba Baba yake kuondoa mateso ambayo angeweza kuyavumilia juu ya msalaba kufa kwa ajili ya dhambi zote za mwanadamu, kwa muda wote. Lakini Baba alihitaji dhabihu ya Mwana wake, mkamilifu wa pekee kukidhi utakatifu wake wa Kimungu. Kwa hiyo, Yesu alikwenda msalabani.
# Baba
Hii ni kichwa muhimu kwa ajili ya Mungu.