sw_tn/mrk/13/35.md

12 lines
287 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kama ni jioni
Hii urejea kwa kurudi kwa bwana. "kama atarudi jioni"
# jogoo atakapowika
Jogoo ni ndege anayeita asubuhi na mapema. Sauti kubwa anayofanya ni "kuwika"
# asikukute umelala
Hapa Yesu anazungumza kutokuwa tayari kama "kulala" "asikukute hauko tayari kwa kurudi kwake"