sw_tn/mrk/13/03.md

20 lines
740 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika kujibu maswali ya wanafunzi kuhusu kubomolewa kwa hekalu na nini kitatokea, Yesu anawambia nini kitatokea badae.
# Naye alipokuwa amekaa juu ya Mlima wa Mizeituni nyuma ya hekalu, Petro
Walipokuwa wamefika kwenye Mlima wa Mizeituni, na Yesu kuwa amekiti chini. Taarifa zinaweza kufanya kwa usahihi. "Baada ya kufika kwenye Mlima Mizeituni, ambao ulikuwa nyuma ya hekalu, Yesu chini.
# faraga
"wakati ambapo walikuwa peke yao"
# haya mambo yanatokea...yako karibu kutokea
Hii inarejea kwa kile Yesu amekwisha sema kitatokea kwa mawe ya hekalu. Hii inaweza kufanywa wazi. "haya mambo hutokea kwa majengo ya hekalu... yako karibu kutokea kwa majengo ya hekalu"
# wakati ambapo haya yote
"kwamba haya yote"