sw_tn/mrk/11/31.md

36 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama tukisema, 'Kutoka mbinguni'
Inaweza kuwa msaada kuongoza taarifa zilizokosekana. "Kama tukisema 'ilitoka mbinguni"
# Kutoka mbinguni
Hapa "mbinguni" urejea kwa Mungu. "Kutoka kwa Mungu"
# hamkumwamini
Neno "ham" urejea kwa Yohana mbatizaji.
# Lakini kama tukisema 'Kutoka kwa wanadamu,'
Inaweza kuwa msaada kuongeza taarifa zinazokosekana katika majibu yao. "Lakini kama tukisema, 'kutoka kwa wanadamu"
# Kutoka kwa wanadamu
"Kutoka kwa watu"
# Kama tukisema, 'Kutoka kwa wanadamu;...
Viongozi wa dini hawasemi kuwa tatizo lingeweza kuwa kama wangetoa jibu hilo, lakini walifikiri juu yake. "Lakini kama tukisema, 'Kutoka kwa wanadamu, hiyo haitakuwa vizuri" au "Lakini hatutaki kusema kutoka kwa wanadamu"
# Waliwaogopa watu
Mwandishi, Mariko, anaeleza kwanini viongozi wa dini hawakutaka kusema kuwa ubatizo wa Yohana ulitoka kwa wanadamu. Hii inaweza kusemwa kwa usahihi. "Walisema wao kwa wao kwa sababu waliwaogopa watu" au "Hawakutaka kusema kuwa ubatizo wa Yohana ulitoka kwa wanadamu kwa sababu waliwaogopa watu.
# wote walishika
"watu waliamini"
# Hatujui
Hii inaweza kuwa msaada kuongoza taarifa zinazokosekana. "Hatujui ubatizo wa Yohana ilitoka wapi"