sw_tn/mrk/11/29.md

4 lines
178 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ubatizo wa Yohana, ulitoka mbinguni au ulitoka kwa watu?
Pamoja na kwamba Yesu alilijua jibu la swali hili, aliwauliza kuwajaribu viongozi wa dini sababu ya kumuuliza yeye.