sw_tn/mrk/09/01.md

36 lines
1022 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu amekuwa akizungumza kwa watu na wanafunzi wake kuhusu kumfuata. Siku sita badae, Yesu anaenda na wanafunzi watatu juu ya mlima pale alipobadilika, kwa hiyo anaonekana kama siku moja atakavyokuwa katika ufalme wa Mungu.
# Na aliwaambia
"Na Yesu aliwaambia wanafunzi wake"
# ufalme wa Mungu unakuja na nguvu
Ufalme wa Mungu unakuja kumwakilisha Mungu akijionyesha yeye kama mfalme. "Mungu anajionyesha yeye mwenyewe na nguvu kuu kama mfalme"
# peke yao
Mwandishi anatumia "yao" hapa kusisitiza kuwa walikuwa wao wenyewe na kwamba Yesu tu, Petro, Yakobo na Yohana welienda mlimani.
# alianza kubadilika
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "alionekana tofauti sana"
# kabla yao
"mbele yao"
# kung'aa sana
"kung'aa" au "inang'aa" Mavazi ya Yesu yalikuwa meupe yakitoa mwanga.
# kubwa
"sana, sana"
# meupe zaidi, meupe kuliko mng'arishaji yeyote duniani.
Kupausha kunaelezea mchakato wa kufanya pamba nyeupe ya kiasilia zaidi ya weupe kwa kutumia kemikali ya kupausha au amonia.