sw_tn/mrk/08/33.md

28 lines
976 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Baada ya kumkemea Petro kwa sababu hakutaka Yesu kufa na kufufuka, Yesu anawambia wanafunzi wake na umati namna ya kumfata.
# Pita nyuma yangu Shetani! Hujali
Yesu anamaanisha ya kuwa Petro anafanya kama Shetani kwa sababu anajaribu kumzuia Yesu kutimiza alichotumwa na Mungu kufanya. "Pita nyuma Shetani! Nakuita Shetani kwa sababu hujali" au "Pita nyuma yangu, kwa sababu unafanya kama Shetani! Hujali"
# Pita nyuma yangu
"Nipishe mimi"
# nifuate mimi
Kumfuata Yesu hapa kunawakilisha kuwa mmoja wa wanafunzi wake. "kuwa mwanafunzi" au "kuwa mmoja wa wanafunzi wangu"
# ajikane mwenyewe
"hawapaswi kuzitimiza tamaa zake" au "anapaswa kuziacha tamaa zake"
# achukue msalaba wake, na anifuate.
"beba msalaba wake na umfuate" Msalaba huu unawakilisha mateso na kifo. Kuchukua msalaba huwakilisha kuwa tayari kutesa na kufa. "unapaswa kunitii mpaka hatua ya kuteseka na kufa"
# na nifuate
Kumfuata Yesu hapa uwakilisha kumtii. "na nitii mimi"