sw_tn/mrk/08/24.md

16 lines
457 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alitazama juu
"Mtu alitazama juu"
# Naona watu wanaonekana kama miti inatembea
Mtu anaona watu wanatembea, na bado hawakuwa vizuri kwake, hivyo aliwalinganisha na miti. "Ndiyo, naona watu! Wanatembea, lakini siwaoni vizuri . Wanaonekana kama miti"
# Kisha tena
"Yesu tena"
# na mtu alifungua macho yake, macho yake yaliona
Kikundi hiki cha maneno "macho yaliona" inaweza kuandikwa katika kauli tendi "Kurudisha uonaji, na mtu akafungua macho yake"