sw_tn/mrk/06/39.md

20 lines
576 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nyasi za kijani
Eleza nyasi kwa rangi ya neno inavyotumika katika lugha yako kwa nyasi zenye afya, ambayo inaweza ua isiwe rangi ya kijani.
# makundi ya mamia na hamsini
Hii urejea kwa namba ya watu katika kila kundi. "wapatao watu hamsini katika baadhi ya makundi na wapatao watu mia kwa makundi mengine"
# kutazama mbinguni
Hii inamaanisha kwamba alitazama juu mbinguni, ambako kunausishwa na sehemu anayoishi Mungu.
# alibariki
"alizungumza baraka" au "alishukuru"
# aligawa samaki wawili kwa watu wote
"aliwagawa samaki wawili ili kwamba kila moja apate kitu"