sw_tn/mrk/06/35.md

8 lines
217 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Muda ulipoendelea sana
Hii inamaanisha ilikuwa ni jioni. "Wakati ambapo kulikuwa kumeendelea" au " kuendelea jioni"
# eneo la jangwa
Hii inarejea kwa eneo ambalo hakuna watu. Ona kama ilivyo tofasiri katika 6:30