sw_tn/mrk/06/14.md

20 lines
909 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Wakati Herode anasikia kuhusu miujiza ya Yesu, anakuwa na wasiwasi, kufikiri kwamba mtu fulani amemfufua Yohana Mbatizaji kutoka kwa wafu. (Herode alisababisha Yohana Mbatizaji kuuwawa.)
# Mfalme Herode aliposikia hayo
Neno "hayo" urejea kwa kila kitu ambacho Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakifanya katika miji baadhi, ikiwemo na kukemea mapepo na kuponywa watu.
# Baadhi walikuwa wakisema, "Yohana mbatizaji
Baadhi ya watu walikuwa wakisema kuwa Yesu alikuwa ni Yohana Mbatizaji. Hii inaweza kusemwa kwa uwazi zaidi. "Baadhi yao walikuwa wakisema, 'Ni Yohana Mbatizaji alie rejea"
# Yohana mbatizaji amefufuliwa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu alimfufua Yohana Mbatizaji"
# Baadhi yao wakasema, "Huyu ni Eliya."
Inaweza kuwa msaada kusema kwanini baadhi ya watu walifikiri kuwa ni Eliya. "Baadhi wao walisema, ni Eliya, ambaye Mungu aliahidi kumtuma tena."