sw_tn/mrk/05/35.md

24 lines
590 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakati alipokuwa akiongea
"Wakati Yesu alipokuwa akizungumza"
# baadhi ya watu walikuja kutoka kwa kiongozi wa Sinagogi
Maana zinazowekana ni 1) watu hawa walitokea nyumbani mwa Jarius au 2) Jarius alikuwa amewapa watu hawa maagizo kwenda kumuona Yesu au 3) watu hawa walikuwa wametumwa na mtu aliyekuwa kama mwenyekiti na kiongozi wa Sinagogi kwa kukosekana kwa Jarius.
# kiongozi wa Sinagogi
"kiongozi wa Sinagogi" ni Jarius
# kuzungumza
"kuzungumza na Jairus
# Kwa nini kuendelea kumsumbua mwalimu zaidi?
"Hatupaswi kumsumbua mwalimu zaidi"
# mwalimu
Hii inarejea kwa Yesu