sw_tn/mrk/04/08.md

20 lines
775 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# zingine zilizaa mara thelathini zaidi
Kiasi cha nafaka kilichotokana na kila mmea inalinganishwa na mbengu moja iliyoota. "Mimea baadhi ilizaa mara thelathini zaidi kama mbegu ilivyopandwa na mtu"
# thelathini...sitini...na mia
"30...60...100." Hizi zinaweza kuandikwa kama hesabu
# na baadhi sitini, na baadhi mia
Yesu anaendelea kueleza kiasi cha nafaka iliyopatikana. Udondoshaji wa maneno umetumika hapa kufupisha kikundi cha maneno lakini yanaweza kuandikwa. "na baadhi zilizaa sitini zaidi ya nafaka na baadhi zilizaa mia zaid ya nafaka"
# Yeyote aliye na masikio kusikia
Hii ni njia ya kurejea kwa yeyote asikilizae. "Yeyote anayenisikiliza mimi"
# acha asikilize
Hapa neno "kusikiliza" humaaanisha kuwa makini. "unapaswa kuwa makini kwa kila ninachosema"