sw_tn/mrk/02/18.md

16 lines
1000 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anasema mifano kuonyesha kwa nini wanafunzi wake hawakuweza kufunga pindi alipokuwa nao.
# Mafarisayo walifunga...wanafunzi wa Mafarisayo
Haya maneno yanarejea kwa kundi lile lile la watu, lakini la pili liko bayana zaidi. Yote urejea kwa wanafunzi wa Mafarisayo, lakini hayalengi kwa viongozi wa Mafarisayo. "wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wakifunga... wanafunzi wa Mafarisayo"
# baadhi ya watu
"baadhi ya watu." Ni vizuri kutofasiri kikundi cha maneno bila bayana hawa walikuwa watu akina nani. Kama katika lugha yako unapaswa kuwa bayana, maana zinazowezekana ni 1)hawa watu hawakuwa miongoni mwa wanafunzi wa Yohana au wanafunzi wa Mafarisayo au 2) hawa watu walikuwa miongoni mwa wanafunzi wa Yohana
# Je waliohudhuria harusini wanaweza kufunga wawkati bwana harusi akiwa yuko bado pamoja nao?
Yesu aliuliza swali hili kulinganisha kati yake mwenyewe na wanafunzi wake na bwana harusi na marafiki wake.'' wanafunzi wangu husherekea kwa kuwa niko pamoja nao!''