sw_tn/mrk/02/03.md

16 lines
781 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# watu wanne walimbeba yeye
"wanne wao walimbeba yeye." Inawezekana kulikuwa na watu zaidi ya wanne ndani ya kundi waliomleta mtu kwa Yesu.
# walimletea mtu aliyepooza
walimletea mtu asiyeweza kutembea wala kutumia mikono yake.
# Walishindwa kumkaribia yeye
"walishindwa kukaribia pale Yesu alipokuwa Yesu"
# waliondoa paa juu alipokuwa...kutoboa tundu ndani yake
Nyumba alizoishi Yesu zilikuwa na paa za wima zilizo tengenezwa kwa udongo na kufunikwa kwa vigaye. Hatua ya kutengeneza tundu juu ya paa inaweza kuelezwa zaidi kwa uwazi au kufanywa zaidi kwa ujumla ili kwamba iweze kueleweka katika lugha yako. "waliondoa vigaye sehemu ya paa juu alikokuwa Yesu. Na walipotoboa katika paa ya udongo "au" walipotengeneza tundu juu ya paa alipokuwa Yesu, na kisha walimshusha"