forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
685 B
Markdown
24 lines
685 B
Markdown
|
# Lakini alienda
|
||
|
|
||
|
Neno "yeye" urejea kwa mtu aliyeponywa na Yesu.
|
||
|
|
||
|
# mwambie kila mmoja...sambaza neno
|
||
|
|
||
|
vivumishi vya maneno haya mawili yana maana inayofanana na yanamwelezea yule mtu aliyewaambia watu wengi.
|
||
|
|
||
|
# kila mmoja
|
||
|
|
||
|
Neno "kila mmoja" linafafanua, "Watu wengi aliokutana nao."
|
||
|
|
||
|
# Yesu hakuweza tena kuingia mjini kwa uhuru
|
||
|
|
||
|
Hii ina maanisha kwamba makundi makubwa yalimzuia Yesu kuingia mjini kwa sababu makundi yalifanya ugumu kwake kutembea katika mji. "makundi yalimzuia Yesu kutembea kwa uhuru mjini."
|
||
|
|
||
|
# mahali pa faraga
|
||
|
|
||
|
"mahali pa utulivu" au "mahali ambapo hakuna mtu aliye ishi"
|
||
|
|
||
|
# kutoka kila mahali
|
||
|
|
||
|
Neno "kila mahali" linafafanua kuwa, "kutoka maeneo yote ya mkoa"
|