sw_tn/mrk/01/16.md

16 lines
430 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alimwona Simoni na Andrea
"Yesu alimuona Simoni na Andrea"
# kutupa nyavu baharini
Maana pana ya sentensi hii inaweza kuwekwa wazi. AT: "kutandaza wavu katika maji kushika samaki"
# Njoo, nifuate mimi
"Nifuate mimi" au "njoo nami"
# Nitawafanya kuwa wavuvi wa watu
Huu mfano humaanisha Simoni na Andrea watawafundisha watu ujumbe wa kweli wa Mungu, ili wengine wamfuate Yesu. AT: "Nitakufundisha namna ya kuwapata watu"