sw_tn/mic/03/09.md

12 lines
428 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mmeijenga Sayuni kwa damu na Yerusalemu kwa uovu
Matajiri walikuwa wakijijengea wenyewe nyumba nzuri mara nyingi kwa gharama na kuwatenda vibaya maskini.
# damu
Hapa "damu" inarejea kuua.
# Je! Yahwe yu pamoja nasi? Hakuna uovu utakaokuja juu yetu.
Mika anawanakuu watu wafikiriao tofauti Yahwe hatawaadhibu kwa matendo yao maovu. Neno la Kiebrania la "uovu" hapa ni sawa kama "janga" katika 2:3, neno kuu katika kitabu.