# Mmeijenga Sayuni kwa damu na Yerusalemu kwa uovu Matajiri walikuwa wakijijengea wenyewe nyumba nzuri mara nyingi kwa gharama na kuwatenda vibaya maskini. # damu Hapa "damu" inarejea kuua. # Je! Yahwe yu pamoja nasi? Hakuna uovu utakaokuja juu yetu. Mika anawanakuu watu wafikiriao tofauti Yahwe hatawaadhibu kwa matendo yao maovu. Neno la Kiebrania la "uovu" hapa ni sawa kama "janga" katika 2:3, neno kuu katika kitabu.