sw_tn/mic/01/06.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitafanya
Hapa "Mimi" inarejelea kwa Yahwe.
# itakanyagwa kuwa vipande vipande...itachomwa
"Nitakanyaga kuwa vipande vipande...nichoma"
# Nitayavuta mawe ya jengo lake
Hapa "yeye" inarejea kwa mji wa Samaria.
# Kwa kuwa zawadi zake za ukahaba amezikusanya, na malipo ya ukahaba yatarudi
Mara nyingi kuabudu sanamu pamoja na kulala na kahaba kwenye hekalu la wapagani.