# Nitafanya Hapa "Mimi" inarejelea kwa Yahwe. # itakanyagwa kuwa vipande vipande...itachomwa "Nitakanyaga kuwa vipande vipande...nichoma" # Nitayavuta mawe ya jengo lake Hapa "yeye" inarejea kwa mji wa Samaria. # Kwa kuwa zawadi zake za ukahaba amezikusanya, na malipo ya ukahaba yatarudi Mara nyingi kuabudu sanamu pamoja na kulala na kahaba kwenye hekalu la wapagani.