sw_tn/mat/28/16.md

12 lines
411 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya Yesu kukutana na wanafunzi wake
# walimwabudu, lakini wengine waliona shaka
Maana zake zaweza kuwa 1) wote walimwabudu Yesu ingawa baadhi yao waliona shaka au) Baadhi yao walimwabudu Yesu, lakini wengine hawakumwabudu kwa sababu waliona shaka
# lakini baadhi yao waliona shaka
"Wengine wlions shaka kuwa ni kweli yeye ndiye aliyekuwa Yesu na kwamba amefufuka