sw_tn/mat/28/01.md

28 lines
852 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi ungsnishi
Hii ni habari ya ufufuo wa Yesu kutoka wafu
# Baadye jioni siku ya Sabato, jua lilipokuwa likichwa kuelekea siku ya kwanza ya juma
Baada ya Sabato kuisha, jua lilipokuwa likichomoza Jumapili asubuhi"
# Baadaye
Hili ni nenolinaloonesha kuanza kwa habari mpya. Mathayo anaanza kueleza sehemu mpya ya habari hii
# Mariamu mwingine
Huyu ni Mariamu mama wa Yakobo na Yusufu Tazma (27:54)
# Tazama
Neno "tazama" linatutahadharisha kuwa tayari kwa ajili ya taarifa kushanagaza ambazo zinafuata. Lugha yako inaweza kuwa namna ya kulisema hili.
# kulikuwa na tetemeko kubwa, kwa sabau malaika wa Bwana alishuka ... na kulivingirisha jiwe
Yaweza kumaanisha yafatayo 1) tetemeko lilitokea kwa sababu alishuka na kulivingirisha lile jiwe au 2) matukio yote haya yalitokea kwa wakati mmoja.
# tetemeko
kutetemeka ghafla kwa ardhi