sw_tn/mat/27/51.md

24 lines
972 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanza na matukio ambayo yalitokea baada ya Yesu kufa
# Tazama
Neno "tazama" linatutaka kuwa makini kwa taarifa za kushangaza zinazofuata.
# pazia la hekalu lilipasuka
"lile pazia la hekaluni lilipasuka katika sehamu mbili" au "Mungu alilifanya pazia la hekalu ligawanyike mara mbili"
# Makaburi yalifunguka, na miili ya watakatifu wengi waliokuwa wamelala usingizi walifufuliwa.
"Mungu alifunua makaburi na kuifufua miili ya watu wengi wa Mungu waliokuwa wamekufa"
# wamelala usingizi
Hii ni tafsida yenye maana ya kufa "waliokuwa wamekufa"
# Makaburiyalifunuka ... na walionekana kwa wengi
Mpangilio wa matukio haya hauko wazi sana. Baada ya tetemeko la ardhi wakati Yesu alipokufa na makaburi kufunuka 1)Watu watakatifu walikuwa hai tena, kisha baada ya Yesu kufufuka, watakatifu wakauingi mji wa Yerusalemu na watu wengi waliwaona, au 2)Yesu alifufuka, kisha watakatifu nao wakafufuka na kuuingia mji ambapo watu wengi waliwaona.