sw_tn/mat/27/03.md

32 lines
884 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Mwanadishi amekoma kueleza habari ya kuhojiwa kwa Yesu na anaeleza jinsi Yuda alivyojiua
# Maelezo kwa ujumla
Tukio hili limeanza baada ya Yesu kuhojiwa mbele ya baraza la viongozi wa Wayahudi, lakinni hatujui kama hii ilitokea baada au kabla ya mahojiano ya Yesu kwa Pilato
# Kisha wakati Yuda
Kama lugha yako ina namna ya kuonesha habari mpya inapoanza, unaweza kuitumia hapa.
# Yesu amaekwisha kuhukumiwa
"Viongozi wa Wayahudi wameshamhukumu Yesu"
# vipande thelathini vya fedha
Tazam 26:14
# damu isiyo na hatia
"mtu ambaye hakustahili kufa"
# inatuhusu nini?
"hilo siyo tatizo letu" au "hilo ni tatizo lako"
# alivirusha chini vile vipande vya fedha katika hekalu"
Hii inamaanisha 1) alivitupa vile vipande vya fedha akiwa kwenye korido la hekalu, au 2) alikuwa amesimama kwenye korido la hekalu na akavitupa vile vipande vya fedha hekaluni.