sw_tn/mat/23/18.md

28 lines
646 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Na
"na ninyi pia husema"
# si kitu
"hakuna haja ya kulinda kiapo chake"
# sadaka
ni mnyama au nafaka ambayo mtu anaweza kuileta kwa Bwana na kuiweka madhabahuni
# amefungwa na kiapo chake
"lazima afanye kile alichoahidi kufanya"
# Watu vipofu.
Viongozi wa Kiyahudi walikuwa vipofu kiroho. Ingawa walijidhania kuwa walimu, hawakuwaeza kuuelewa ukweli wa Mungu
# Kipi ni kikubwa kuliko kingine, sadaka, au madhabahu ambayo huweka wakfu sadaka zinazotolewa kwa Mungu?
"Madhabahu ambayo huzifanya sadaka kuwa takatifu ni kuu kuliko sadaka
# "madhabahu ambayo huweka wakfu sadaka"
madhabahu ambayo huziweka sadaka kuwa rasmi kwa Mungu"