sw_tn/mat/21/43.md

24 lines
931 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nawaambieni
Hii inaongeza msisitizo juu ya kile ambacho Yesu anasema baadaye
# wa..
Kiwakilishi cha wa... ni cha wingi. Yesu alikuwa anaongea na viongozi wa dini na Wayahudi pia katika ujumla wao.
# Ufalme wa Mungu utatwaliwa kutoka kwenu na kupewa taifa linalojali matunda yake
Neno "ufalme wa Mungu" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme. "Mungu atawakataa, Wayahudi, na atakuwa mfalme wa watu toka mataifa mengine watakaozaa matunda"
# linalojali matunda yake
Hii ni nahau inayomaanisha utii. "wale wanaotii amri za Mungu"
# Yeyote atakayeanguka juu ya jiwe hilo atavunjwa vipandevipande.
Neno "jiwe hili" nijiwe sawa na lile la 21:42. Hii ni sitiari inayomaanisha kuwa Kristo atamharibu mtu yeyote anayempinga. "Jiwe litamvunjavunja yeyote anayeanguka juu yake"
# Kwa yeyeote litayemwangukia litamsaga
Hiki ni krai kinachoonesha kuwa Kristo ndiye atakuwa hakimu wa mwisho na atamharibu kila mtu atakayempinga.