sw_tn/mat/20/22.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Haujui
Hapa "ham" iko katika wingi na inamaanisha mama na watoto
# Je! unaweza
Hapa "mna" ni wingi, lakini Yesu anasema na wale wana wawili.
# kukinywea kikombe ambacho nitakinywea
Hii ni nahau inayomaanisha kupita katika mateso. "kupitia mateso ambayo punde nitayapitia"
# wakamwambia
"wale wana wa Zebebdayo walimwambia" au "Yakobo na Yohana walisema"
# kikombe changu hakika mtakinywea
Hii ni nahau kupitia dhiki. "kwa hakika mtateseka kama nitakavyoteseka
# mkono wa kulia ... mkono wa kushoto
tazama 20:20
# ni kwale ambao imekwisha kuandaliwa na baba yangu
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Baba yangu amekwisha kuyaandaa hayo maeneo, na atawapatia wale anaowachagua.
# Baba yangu
Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu kinachoonesha mahusiano kati ya Yesu na Mungu.
# waliposikia hivyo
"Waliposikia ambacho Yakobo na Yohana walimwuliza Yesu"
# walihuzunishwa sana na wale ndugu wawili
Kama inawezekana unaweza kukiweka wazi kilichowahuzunisha wale wanafunzi kumi. "Walikasirishwa sana na wale ndugu wawili kwa sababu kilammoja wao alitaka kuketi kwenye upande wa heshima karibu na Yesu.