sw_tn/mat/19/29.md

16 lines
691 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa ajili ya jina langu
hapa "jina" linamaanisha nafasi nzima. "kwa sababu yangu" au " kwa sababu ananiamini mimi"
# atapata mara mia
Kupokea kutoka kwa Mungu mara 100 na vitu vingine vizuri kama walivyoacha
# kuurithi uzima wa milelel
Hii ni nahau inayomaanisha "Mungu atawabariki na uzima wa milele" au "Mungu atawafanya kuishi milele
# Lakini wengi walio wa kwanza sasa, watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwawa kwanza.
Yesu analinganisha kizazi hiki na kile kijacho. Wale ambao ni wa muhimu sasa Mungu atawafanya kuwa si wa muhimu atakapoanzisha utawala wake hapa duniani. Wale wanaoonekana si wa muhimu leo Mungu atawafanya kuwa wa muhimu atakapoanzisha utawala wake.