sw_tn/mat/12/09.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Hapa mandhari yanahamia kwenye kitu kingine mahali ambapo mafarisayo wanamkosoa Yesu kwa kumponya mtu siku ya Sabato.
# Kisha Yesu akaondoka pale
"Yesu akaondoka kwenye lile shamba la ngano" au "Kisha Yesu akaondoka"
# Sinagogi lao
"singogi" Hapa "lao" inamaanisha Wayahudi kwa ujumla na wala si Mafarisayo tu, kutokana na kipengere kilichopita.
# Tazama
Neno " tazama" linatuelekeza kwa mtu mwingine katka simulizi. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kulifanya hili.
# mtu aliyepooza mkon
"mtu alikuwa namkono uliopooza" au "mtu mwenye ulemavu wa mkono"
# Mafarisayo wakamuuliza Yesu wakisema . J"e, ni halali kumponya mtu siku ya Sabato? Ili kwamba waweze kumshitaki kwa kutenda dhambi
"Mafarisayo walitaka kumshitaki Yesu kwa kutenda dhambi, kwa hiyo walimuuliza, 'Je, ni halali kuponya siku ya Sabato?"
# Je, ni halali kuponya siku yaSabato?
Kwa mjibu wa sharia za Musa, Yawezekana mtu kumponya mtu mwingine siku ya Sabato?"
# ili waweze kumshitaki kwa kutenda dhambi
Si tu walitaka kumshitaki Yesu mbele za watu, Mafarisayo walitaka Yesu atoa jibu linalopingana na sheria ili waweze kumpeleka kwa hakimu iwamshitaki kwa kuvunja sheria.