sw_tn/mat/11/13.md

24 lines
933 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu aliendelea kuongea na umati juu ya Yohana Mbatizaji.
# kwa kuwa manabii na sheria, imekuwa ikitabiri mpka kwa Yohana
Hapa neno " manabii na sheria"linamaanisha kile ambacho manabii na Musa waliandika katika maandiko. "Kwa kuwa haya ndiyo mambo ambayo manabii na Musa walitabiri katika maandiko mpaka wakati wa Yohana mbatizaji
# na kama mko
Kiwakilishi ''mko''kinarejelea watu katika umati.
# huyu ni Eliya, yule ajaye
''Hii inarejelea kwa Yohana Mbatizaji. Hii haimaanishi Yohana Mbatizaji ni sawa na Eliya. Yesu anamaanisha Yohana mbatizaji anatimiza unabii juu ya "Eliya ajaye" au "Eliya anayefuata". "Wakati nabii Malaki aliposema kuwa Eliya atarudi, alikuwa akiongea juu ya Yohana mbatizaji"
# Aliye na masiko ya kusikia
Hii ni namna ya kumwambia kila anayesikilza. ''Kila anayenisikiliza''
# na asike
Hapa ''asikie" inamaanisha kuwa msikivu. " lazima awe mwangalifu kwa kile nisemacho''