sw_tn/mat/10/24.md

52 lines
1.8 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu dhiki wanayotakiwa kuvumilia wakati watakapoenda kuhubiri.
# Mwanafunzi si mkuu kuliko mwalimu wake, wala mtumwa aliye juu ya bwana wake
Yesu anatumia mithali kuwafundisha wanafunzi wake ukweli wa jumla. Yesu anasisitiza kwamba wanafunzi wake wasitegeme watu kuwatendea vizuri kuliko walivyomtendea Yesu.
# Mwanafunzi si mkuu kuliko mwanafunzi wake
"Mwanafunzi daima si wa mhimu kuliko mwalimu wake". Mwalimu daima ni wa mhimu kuliko mwanafunzi wake.
# wala mtumwa aliye juu ya bwana wake
"na mtumwa daima si wa mhimu kuliko bwana wake" au "na bwana daima ni wa muhimu kuliko mtumwa wake"
# Inatosha kwa mwanfunzi kwamba awe kama mwalimu wake
"Mwanafunzi atalizika pale atakapokuwa kama mwalimu wake"
# awe kama mwalimu wake
Kama inawezekana, unaweza kueleza dhahIri jinsi mwanafunzi anavyofanyika kuwa kama mwalimu, "Ajue kma mwalimu anavyojua"
# na mtumwa kama bwana wake
Kama inawezekana uieleze dhahiri jinsi mtumwa anvyoweza kuwa kama bwana ." "na mtumishi atarizika pale tu atakapokuwa na umuhimu kama Bwana wake"
# Ikiwa wamwita bwana ... wa nyumba Belzabuli, ni kwa kiasi gani zaidi kwa wale wa nyumba yake
Kwa mara nyingine Yesu anasisitiza kuwa kama watu walimtenda vibaya, hivyo wanafunzi wategemee kufanyiwa hivyo au zaidi.'
# ni kwa kiasi gani watawakashifu watu wa nyumba yake
" majina yale wanayotumia kuwaita watu wa nyumba yake hakika yatakuwa mabaya zaidi" au "kwa hakika wataita watu wa nyumba yake majina mabaya zaidi"
# Ikiwa wamemwita
"kwa watu wamemwita"
# Bwana wa nyumba
Yesu anatumia hiii kama msemo kwa ajili yake
# Belzabuli
Hili jina linaweza 1) likaelezwa moja kwa moja kama "Belzabuli" au "2) Kutafsiri kama asili yake, kumaanisha "shetani"
# wa nyumba yake
Hii ni sitiari kwa maana ya wanafunzi wa Yesu