sw_tn/mat/09/29.md

24 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# akagusa macho yao na kusema
Haiko wazi kuwa aligusa macho yao wote wakati mmoja au alitumia mkono wake wa kulia kumgusa mmoja na mwingine tena. Mkono wa kushoto kawaida ulitumika kwa makusudi yakutokuwa safi, ni hakika alitumia mkono wa kulia pekee. Pia haiko wazi kwamba aliongea wakati anawagusa au kwanza aliwagusa na ndipo akaongea kwao.
# Na ifanyike hivyo kwenu kama imani yenu ilivyo
Hii inaweza kutafsriwa katika mfumo tendaji. "Naitafanya kama ulivyomini" au "kwa sababu unaamini, nitakupaonya"
# macho yao yakafumbuka
Hii inamaanisha waliweza kuona. Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Mungu aliponya macho yao" au "wale wanaume wawili vipofu waliweza kuona"
# Angalieni mtu yeyote asifahamu jambo hili.
Hapa neno "angalieni" linamaanisha "hakikisha." au "Uwe na Muwe na uhakika hakuna mtu atakaye tafuta juu ya jambo hili" au "Msimwambie mtu yeyeote kuwa nimewaponya"
# Lakini
"Badala yake"Wanaume hawakufanya kile ambacho Yesu aliwaambia kufanya.
# kutangaza habari
"waliwaambia watu wengi kilichotokea kwao"