sw_tn/mat/08/33.md

24 lines
551 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inahitimisha habari ya Yesu ya kuwaponya wanaume wawili waliokuwa na pepo
# kuchunga nguruwe
"kulinda nguruwe"
# kilitokea nini kwa mwanaume ambaye ametawaliwa na mapepo
"Yesu alifanya nini kwa mwanaume ambaye alitawaliwa na mapepo"
# Ndipo
Hii inaonyesha mwanzo wa tukio jingine kubwa la hadithi. Inaweza kuhusisha watu tofauti na tukio la zamani.Lugha yako inaweza kuwa na njia kwa kuonyesha hili
# mji mzima
Hii ina maanisha wengi au idadi ya watu wengi, sio lazima kila mtu.
# mji
"jiji na ardhi inayoizunguka"