sw_tn/mat/07/21.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wataingia katika ufalme wa mbinguni
Hapa "ufalme" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme. Msemo "ufalme wa mbinguni" umetumika pekee katika kitabu cha mathayo. Ikiwa inawezekana, andika "mbingu" katika tafsiri yako. "wataishi pamoja na Mungu mbinguni pindi atakapojifunua kuwa mfalme."
# wale wanaotenda mapenzi ya Baba
"wale wanaotenda kile ambcho Baba yangu anataka"
# Baba
Hii ni sifa muhimu ya Mungu
# siku hiyo
Yesu alisema "siku hiyo" akijua wasikilizaji walielewa alichomaanisha siku ya hukumu. Unaweza kuhusisha "siku ya hukumu" endapo tu wasikulizaji wako hawatakuelewa vinginevyo.
# hatukutoa unabii....kutoa mapepo...tulifanya miujiza mingi?
Watu walitumia maswali kusisitiza kwamba walifanya mambo hayo. "tulitabiri..tulitoa pepo...tulifanya miujiza mingi."
# sisi
Hii "sisi" haimuhusishi Yesu.
# kwa jina lako
Hapa "jina" maana yake katika nguvu na mamlaka ya Yesu
# matendo ya ajabu
"miujiza"
# sikuwatambua ninyi
Hii ina maana mtu huyu si wa Yesu."Wewe si mfuasi wangu" au "Sina kitu cha kufanya pamoja nawe"