sw_tn/mat/07/13.md

20 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
unapotafsri, tumia neno sahihi la "pana" na la "pana sana" kama yanavyotofautiana na "embamba" kama inavyowezekana ili kukazia tofauti ya hizo jozi za malango na njia.
# Ingia kwa kupitia njia nyembamba...wachache wanaoweza kuiona
Hiki ni kivuli cha mtu anayetembea njiani na kuingia kwenye ufalme kwa kupita lango. Ufalme mmoja ni rahisi kuingia na mwingine si rahisi kuingia. Huu ni msemo unaomaanisha kwamba mtu anapaswa kukubali njia ngumu ya maisha ya kumtii Mungu na kupata uzima wa milele. Ikiwa watachagua njia nyepesi ya maisha ya kutomtii Mungu, wataingia kuzimu.
# Ingia kwaa kupitia njia nyembamba
Unatakiwa kuendelea hadi mwisho wa mstari wa 14: "Hivyo basi, ingia kwa kupitia njia nyembamba."
# lango.....njia
Tafsiri inayowezekana ni 1) hii inarejea langoi la kuingia katika ufalme na njia inayoongoza kwenye lango. Ikiwa hivyo, unaweza kubadilisha mpangalio kinyume kama walivyofanya UDB au 2) "lango" na "njia" vyote vinarejea lango la ufalme. ikiwa hivyo, una haja ya kubadili mpangilio.
# katika uharibifu.... katika uzima
Haya majina ya sifa yanaweza kutafsiriwa kwa vitendo. "katika eneo ambalo utakufa.... katika eneo ambalo utaishi."