sw_tn/mat/06/03.md

16 lines
634 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake juu ya sadaka
# Maelezo kwa ujumla
Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea kwao baadaye katika maisha binafsi. Viwakilishi vya "wewe" na " ""wako" viko katika wingi.
# mkono wako wa kushoto usijue kinachofanywa na mkono wa kulia
Huu ni msemo unaonyesha usiri. Kama vile mikono inavyofanya kazi pamoja na inasemekana "kujua" kila kitu kinachofanywa kwa wakati wote, hivyo hata watu wako wa karibu wasijue unapotoa msaada kwa maskini
# sadaka yako itoe kwa siri
Hii inaweza kuelezeka kwa mfumo tendaji "utawapa maskini pasipo watu wengine kujua."