sw_tn/mat/04/17.md

4 lines
353 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tubuni, kwa kuwa ufalme wa mbinguni umekaribia
Sentensi "ufalme wa mbinguni" humaanisha utawala ambao Mungu ndiye mfalme. Sentensi hii imetumika katika injili ya Mathayo tu. Kama inawezekana tumia neno "Mbinguni" katika tafsiri yako. "Si muda mrefu Baba yetu aliye mbinguni atajidhirisha kuwa ni mfalme" Angalia jinsi ilivyotafsiriwa katika Mat. 3:1