sw_tn/mal/03/16.md

12 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na kitabu cha kumbukumbu kilikuwa kimeandikwa mbele zake waliomwogopa Bwana
Hii inaweza kumaanisha 1) Waisrael waliandika kitabu ambacho wangekumbuka kile walichokuwa wameahidina kwa majina ya watu wenye hofu na Bwana au 2) Bwana alimfanya mtu flani huko mbinguni kuandika kitabu kikiwa na majina ya wale wanaomwogopa Bwana.
# kitabu cha kumbukumbu
kitabu cha kuwasaidia watu kukumbuka mambo muhimu
# heshimu jina lake
kumheshimu yeye