sw_tn/mal/02/05.md

16 lines
342 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Agano langu pamoja naye ilikuwa ni juu ya yhai na amani
"Kusudi la agano langu pamoja na Lawi ilikuwa ni juu ya makuhani kuishi maisha ya ushindi na amani"
# Nilitoa hivi vitu kwake ili kuonyesha heshima kwa ajili yangu
Nilitoa vitu hivi kwake ili kwamba aniheshimu"
# midomo
uwezo wa kuongea na kujulisha watu
# ulinzi
"Kuhifadhi"