# Agano langu pamoja naye ilikuwa ni juu ya yhai na amani "Kusudi la agano langu pamoja na Lawi ilikuwa ni juu ya makuhani kuishi maisha ya ushindi na amani" # Nilitoa hivi vitu kwake ili kuonyesha heshima kwa ajili yangu Nilitoa vitu hivi kwake ili kwamba aniheshimu" # midomo uwezo wa kuongea na kujulisha watu # ulinzi "Kuhifadhi"