sw_tn/luk/22/52.md

24 lines
729 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Je mnakuja kana kwamba mnakuja kupambana na mnyang'anyi, na marungu na mapanga?
"Je mnakuja na marungu na mapanga kwa sababu mnafikiri mimi ni mnyang'anyi?" Yesu anatumia hili swali kuwa tahayarisha viongozi wa Kiyahudi. Tafsiri mbadala: "Mnajua kwamba mimi si mnyang'anyi, na bado mnanijia mkileta mapanga na marungu."
# Nilipokuwa pamoja nanyi siku zote
"Nilikuwa kati yenu kila siku"
# hekalu
Tafsiri mbadala: "Uwanda wa ndani ya hekalu" au "katika hekalu"
# kuweka mikono yenu juu yangu
Tafsiri mbadala: "kunikamata"
# saa yako
"muda wako"
# mamlaka ya giza
Hii inamaanisha mtawala muovu, Shetani. Tafsiri mbadala: "muda kwa mtawala wa giza" au "muda ambao Shetani anafanya mambo maovu kama anavyopenda kufanya"