sw_tn/luk/20/27.md

16 lines
601 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Hii ni sehemu inayofuata ya simulizi. hatufahamu ilitokea wapi, japo inaweza kuwa wapo hekaluni. Yesu anaongea na Masadukayo.
# Waliokuwa wanasema kuwa hamna ufufo
Maneno haya yanatambulisha Mawadukayo ambao ni kundi la Wayahudi wanaosema hakuna atakayefufuliwa toka kwa wafu. Haimaanishi kuwa baadhi ya masadukayo wanaamini kuwa kuna ufufuo na wengine hawaamini.
# Ikiwa mtu akifiwa na kaka yake aliyekuwa na mke na hana mtoto.
"Ikiwa mtu akifiwa na kaka yake wakati ana mke lakini hawana watoto"
# mtu atamchukua mke wa kaka yake
"mtu atamuoa mjane aliyefiwa na mume wake"