sw_tn/luk/20/19.md

28 lines
680 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Walitaka kumkamata
"walitafta njia ya kumkamata Yesu"
# Wakati huo huo
Mda huo huo
# Walikuwa wanawaogopa watu
Hii ndiyo sanbabu hawakumkamata Yesu moja kwa moja. Watu walimuheshimu Yesu na viongozi wa dini waliogopa kile ambacho watu wangekifanya ikiwa wangemkamata Yesu. "Lakini hawakumkamata kwa kuwa waliwaogopa watu."
# Walituma wapelelezi
"Mafarisayo na Makuhani wakuu walituma wapelelezi kumuangalia Yesu"
# Kama watapata kosa kwenye hotuba zake
"kwa kuwa walitaka kumtuhumu Yesu kwa kusema jambo baya"
# ili kumpeleka
"ili kumpeleka kwa" au "ili kumkabidhi kwa"
# Kwa uongozi na mamlaka ya Gavana
Kuongoza na mamlaka ni njia mbili za kuelezea kitu kimoja.