sw_tn/luk/15/22.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# joho bora
"vazi bora katika nyumba." "koti bora" au "vazi bora"
# weka pete kidoleni
pete ilikuwa ni ishara ya mamlaka ambayo wanaume walivaa kwenye moja ya vidole vyao.
# viatu
Watu matajiri wa wakati huo walivaa viatu. Hata hivyo, katika tamaduni nyingi za kisasa itakuwa "viatu."
# ndama aliyenona
ndama ni ng'ombe mdogo. Watu huwapa ndama moja ya chakula maalum ili aweze kukua vizuri, na kisha wakati wao humla huyo ndama siku wakitaka kuwa na sikukuu maalum "ndama bora" au "wanyama wadogo tumekuwa tukiwafanya wanenepe"
# na kumchinja
maelezo yanaonyesha kuwa walikuwa wanapaswa kupika nyama zinaweza kufanywa safi. "na kumchinja na kuipika."
# mwanangu alikuwa amekufa, na sasa yeye yu hai
Mfano huu unamuongelea mwana kuenda kana kwamba alikua amekufa.: "ni kama mwanangu alikuwa amekufa na akawa hai tena" au "nilihisi kama mwanangu alikuwa amekufa, lakini yeye sasa yu hai"
# Alikuwa amepotea, na sasa kapatikana
Mfano huu unasema mwana kuwa wamekwenda kana kwamba alikuwa amepotea. "Ni kana kwamba mwanangu alikuwa amepotea na sasa nimemuona au "Mwanangu alikuwa amepotea na amerejea nyumbani"
# kumchinja
maelezo yanaonyesha kuwa walikuwa wapike nyama na kuwekwa wazi.: "kumchinja na kumpika"