sw_tn/luk/13/31.md

28 lines
969 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kuunganisha Maelezo
Kuunganisha Maelezo Hili ni tukio la lingine katika sehemu hii ya hadithi. Yesu bado yupo njia kuelekea Yerusalemu, wakati baadhi ya Mafarisayo wakizungumza naye kuhusu Herode.
# Muda mfupi baadae
'"Muda mfupi baada ya Yesu alipomaliza kusema"
# Nenda na ondoka hapa kwa sababu Herode anataka kukuua
Tafsiri hii kama onyo kwa Yesu. Walikuwa wakitoa ushauri aende mahali pengine na kuwa salama.
# Herode anataka kukuua
Herode ataagiza watu kumuua Yesu. AT "Herode anataka kupeleka watu wake kuua wewe."
# yule mbweha
Yesu alimuita Herode mbweha. Mbweha ni mbwa porini mdogo. Maana inawezekana ni 1) Herode hakuwa tishio kubwa wakati wote 2) Herode alikuwa mdanganyifu
# siku ya tatu
Angalia:
# haikubaliki kumuua nabii mbali na Yerusalemu
Viongozi wa Wayahudi waliua manabii wengi wa Mungu katika Yerusalemu na Yesu alijua kwamba wangeweza kumuua huko pia. AT "ni katika Jerusalem kwamba viongozi wa Wayahudi huwaua wajumbe wa Mungu."