sw_tn/luk/12/45.md

24 lines
701 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mtumishi yule
Hii ina maanisha yule mtumishi ambaye bwana alimuweka juu ya wengine
# akisema moyoni mwake
"akafikiri ndani yake"
# bwana wangu anakawia kurudi
"bwana wangu hatarudi mapema"
# watumishi wa kiume na wa kike
Neno lililotafsiriwa hapa kama "watumishi wa kiume na Kike" mara nyingi hutafsiriwa kama "wavulana" na "wasichana". Inaweza kuashiri kuwa watumishi walikuwa vijana au wanao pendwa sana na bwana wao.
# katika siku asiyotegemea
"wakati mtumishi hamtegemei"
# kumuweka katika sehemu pamoja na wasio waaminifu
Inaweza kuwa na maana zifuatazo: 1) Ile hali ya bwana kutoa adhabu kali kwa mtumishi wake. 2) Hii inaelezea jinsi ambavyo mtumishi atakavyo vyongwa kama adhabu.